Kiod

Kiod ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Waod. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kiod imehesabiwa kuwa watu 58,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiod kiko katika kundi la Kiaryan.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search